Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #221
Kikosi cha Uruguay kina mchanganyiko wa Wazee kama akina Suarez, Cavani, Diego Godin na goalie Fernando Musilera
Pia kikosi kina vijana kama Federico Valverde, Nunez, Bentacur na wengineo...
Kwangu mimi hawa ni dark horse, hawatajwi sana ila wanaweza wakafika hata robo fainal