Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kikosi cha Uruguay kina mchanganyiko wa Wazee kama akina Suarez, Cavani, Diego Godin na goalie Fernando Musilera

Pia kikosi kina vijana kama Federico Valverde, Nunez, Bentacur na wengineo...

Kwangu mimi hawa ni dark horse, hawatajwi sana ila wanaweza wakafika hata robo fainal
 
1.Brazil
2.German
3. Portugal

Nb: Siwapendi Argentina nitakuwa hater mkubwa wa timu hii najua wamependelewa kupewa kundi la kiboya safari yao mwisho robo fainali.
Ni sawa, lakini kumbuka kuwa chuki zako haziwezi kuwazuia kufika fainali Mkuu, kama wameandikiwa kufika watafika tu au kinyume chake....
 
Wadachi
B002B3E2-FC82-4307-BE3A-2F201453D491.jpeg
 
Back
Top Bottom