Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Haiwezekani bwana kwa timu gani tulizonazo bwana? Hapa matumaini yapo kwa senegal tuu.
Tunisia sijui cameroun hamna kitu. Kwanza cameroun vimbwanga vilishaanza kocha msaidi kaomba kazi ya zambia national team
uchambuzi mzuri. Tunis wako vizuri
 
Falsafa za timu mbalimbali world cup
1EE2AAD0-ADA1-475D-B3CC-D1A8BBDA5C16.jpeg
 
World Cup Village - hiki ni kijiji maalum kwa ajili ya mashabiki hapo Qatar ambapo kitakuwa kinalaza mashabiki watakaopenda kulala hapo maana kuna sehemu nyingine kama hoteli.

Kijiji hiko kimejengwa kwa makontena na kina vyumba takribani 6,000 (elfu sita).

Kulala hapo kwa usiku mmoja ni US Dollar 200 sawa na Shilingi za Kitanzania 466,400 kwa usiku mmoja tu.

Na tayari vyumba vyote elfu 6 vya kijiji hiko vipo booked (vimejaa)
64828859-ED3B-4392-8B73-7AA01BA28469.jpeg
14739D14-D219-4BA8-9BFC-42E679E6F499.jpeg
.
 
World Cup Village - hiki ni kijiji maalum kwa ajili ya mashabiki hapo Qatar ambapo kitakuwa kinalaza mashabiki watakaopenda kulala hapo maana kuna sehemu nyingine kama hoteli.

Kijiji hiko kimejengwa kwa makontena na kina vyumba takribani 6,000 (elfu sita).

Kulala hapo kwa usiku mmoja ni US Dollar 200 sawa na Shilingi za Kitanzania 466,400 kwa usiku mmoja tu.

Na tayari vyumba vyote elfu 6 vya kijiji hiko vipo booked (vimejaa)
View attachment 2413638View attachment 2413639.
Duh watu wanapenda fabo
 
Uholanzi hawana dogo kweny kombe la Dunia hawa jamaa nakumbuka walimpasua Brazil kweny game ya robo fainali 2010 pale south Africa Wesley sjnder kweny ubora wake alitia chuma mbili afu Kuna Germany japo 2018 walivurunda afu Kuna mexico Huwa hawafiki mbali ila ni wabishi sana
 
Back
Top Bottom