Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

World Cup Village - hiki ni kijiji maalum kwa ajili ya mashabiki hapo Qatar ambapo kitakuwa kinalaza mashabiki watakaopenda kulala hapo maana kuna sehemu nyingine kama hoteli.

Kijiji hiko kimejengwa kwa makontena na kina vyumba takribani 6,000 (elfu sita).

Kulala hapo kwa usiku mmoja ni US Dollar 200 sawa na Shilingi za Kitanzania 466,400 kwa usiku mmoja tu.

Na tayari vyumba vyote elfu 6 vya kijiji hiko vipo booked (vimejaa)
View attachment 2413638View attachment 2413639.
Vina Ac vitakua hivyo maana si kwa joto la hayo makontena
 
Wee mumeo kazi anayo...hawezi chepuka hii world cup 🤣🤣🤣🤣
Anaweza chepuka tuu akiamua anaweza sema ngoja niende kwa mshakaji tulipangiana dau mechi hii anipe bia kama timu yake itafungwa so lazima tuwe pamoja. 😀 😀 wanaume nyie kwani mnashindwa jambo?
 
Anaweza chepuka tuu akiamua anaweza sema ngoja niende kwa mshakaji tulipangiana dau mechi hii anipe bia kama timu yake itafungwa so lazima tuwe pamoja. 😀 😀 wanaume nyie kwani mnashindwa jambo?
Wee uzuri wako sii unakuwa upo busy na simba yako....leo vipi ihefu anatoka
 
Back
Top Bottom