Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna sehemu nimeona wanasema, Mane ataenda kutibiwa kwa mganga ili kusudi awahi michuano ya Kombe la Dunia.

Wasenegal wanasema iwe jua iwe mvua Mane lazima awepo Qatar

Lazma tutumie sayansi yetu vizuri😂😂
Kabisa nimeona jana wao mane lazima acheze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…