Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Unatuletea story za mpira wa makaratasiUbunifu wa POS ungesaidia sana hapa
Unauliza kwa lengo la kutaka kubeti?Hapa Kuna Magoli Kweli?
Watu wameshatia stake ukoUnauliza kwa lengo la kutaka kubeti?
Unauliza kwa lengo la kutaka kubeti?
Anazingua kitengeNimetune DStv kiswahili commentator edger kibwana ni msimuliaji mzuri sana
Mkeka umekufaNgoja tuingize depay tumalize kazi maana Senegal wanataka kukaza