Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,261
Senegal wameanza kupatwa na balaa la majeruhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ball linatembeaBoli linapigwa ua wakulungwa wanaruka ruka tu
Leo hawa Holland kama Senegal Mane angekuwepo angekua wameshafungwa siku nyng sana.. Nimewaona bado hawajanishawish khs hata kufika Nusu.Senegal wana beki
Sema mpora ulimfata kwenye eneo lakeHuyu ni golikipa au jini?
Sasa kwenye team yote (ya senegal), wachezaji karibia wote wanacheza nao huko ulaya kwenye ligi zao (kubwa), unafikiri wataacha kucheza kwa tahadhari?Yani wazungu wanacheza na Senegal kwa tahadhari kubwa wanajua wanacheza na miamba ya soka barani Africa
Wakikaa vibaya tunaondoka na ushindi.Team Senegal tunasaka draw tu hapa [emoji91][emoji91]