Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yani wazungu wanacheza na Senegal kwa tahadhari kubwa wanajua wanacheza na miamba ya soka barani Africa
Sasa kwenye team yote (ya senegal), wachezaji karibia wote wanacheza nao huko ulaya kwenye ligi zao (kubwa), unafikiri wataacha kucheza kwa tahadhari?

Kama ni kufungwa basi senegal watafungwa kama sehemu ya mpira na sio kwamba hao wazungu wana viwango vikubwa kuliko Senegal.
 
Duuh, nilishaanza kuhesabu bao, Kombora la maana sana kwa Senegal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…