Kapigwa Eagle goli moja na mfumgaji ni Kyombo
Sasa muda nao andika hiyo post kulikuwa kuna shambulizi ambalo Simba walikuwa wanalifanya
Golikipa wa Eagle si akatokea ili kufanya save akajikuta kavuka kwenye eneo lake na hawezi tena kuudaka ule mpira ikabidi aubutue nje uwe wakurusha
Sasa baada ya mpira kutoka akawa anarudi golini kujipanga wakati huo nao Simba wakataka kutumia advantage kurusha fasta fasta wafunge bao kwasababu golikipa yupo mbali na goli
Simba wakarusha fasta fasta wakapiga shuti moja kwa moja golini wakati kipa bado hajafika, sasa kulikuwa na mabeki wako eneo hilo na mpira umekuja kimo cha juu ambapo hawawezi kuuzuia, so ikawabidi waudake ili kufanya save usiingie moja kwa moja kwasbabu bora iwe penati kipa anaweza kuucheza
Mwisho wa siku imewekwa penati Moses Phiri katia kamba