Nasema hainaga ushemeji tunayoagaaaaaaTulisema kbs hawa Morocco ni wabaya leo wamezid kushangaza watu..
Tulisema asipolewa sifa semi anacheza na kwl kacheza.
Washabik wa cr7 ss mtulie kama mnanyolewa Mnachoweza kufny kwa sbb ni kushabikia kwa nguvu zote kila. Mpinzan wa Argentina [emoji23]
Vamoooooooooooooooooos[emoji1033]
Hao ndio wanaitwa mashabiki oya oyaView attachment 2442134
Pain killer kaka mpaka sasa ameonekana anayekaza fuvu na kukalili ni nani.
ACHA KUKALILI,haya Morocco hao hapo nusu fainali ,acha kukalili ongea current form ya timu husika na si history.
Wewe tu mie namla vizuri tuKwenye hii wordcup sidhani kama kuna aliyekula ela ya muhindi
Sio history of mankind of African football, ni Arabic football history mkuu, don't get it twisted!!!Morocco now enters in the history of mankind of African football history
Amelia sana jamaaMaendeleo hayana chama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kama namuona Ronaldoo [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Anavo [emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba pongezi kwa huu utabiri hata kama hamtaki Wakuu maana "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni" [emoji847]Nina wasiwasi na matokeo ya leo hii yanaweza kuishangaza dunia [emoji28]
Lala uende kanisani keshoKocha amesaidia kupunguza idadi ya magoli...Penaldo angeaza ureno wangekufa nyingi
Nipo nipo. Si unajua tena amka za weekend na hangover za Burazili jana. Naamka nakuta game ishaanza, nikazama kwenye TV hata nisiwaze kuingia huku kwanza. Hapa furaha kama yote. Viva Morocco, Viva Africa. Kilichonifurahisha zaidi ni Ronaldo naye kulia. Angelia na Messi jana ingekuwa poa sana.Dan Zwangendaba hivi uko wapi leo
Tena ni ujinga uliovuka hata mipaka ya ujinga wenyewe!Raha ni kwa waafrika wote. Wanaosema eti waarabu ni wajinga tu.
Kocha amesaidia kupunguza idadi ya magoli...Penaldo angeaza ureno wangekufa nyingiKocha alizingua sana na hilo anajutia sana
We subiri utaona wanaume wanavyosakata kambumbuJidanganye tu kwa muingereza tu hampenyi