Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Nasema hainaga ushemeji tunayoagaaaaaaTulisema kbs hawa Morocco ni wabaya leo wamezid kushangaza watu..
Tulisema asipolewa sifa semi anacheza na kwl kacheza.
Washabik wa cr7 ss mtulie kama mnanyolewa Mnachoweza kufny kwa sbb ni kushabikia kwa nguvu zote kila. Mpinzan wa Argentina [emoji23]
Vamoooooooooooooooooos[emoji1033]
Zamu ya nani leo zamu ya CR7