The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Saint Anne njoo msindikize Shangazi akalale😛😛Hewalaa
#mauayametuleteanyukiwakaabenchi
Mimi pia nimeona hivyo. Kocha kacheza kamari imemuuaHii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
England ama France wote ni bwabwa tu mbele ya MoroccoMechi ya sa4 nataka eng ashinde
Morroco ataweza kuwamudu eng ila sio france
Nakula saivi usinisumbue 😂
,😂😂😂😂
Sijaiona,iko wapi!?Link haifanyi kazi?
Ana private jet.Ronaldo akipanda pipa saivi anaweza kuwahi misa kesho ureno?
Vp waislam wa frm matumbi nao wanahesabiwa?Ulimwengu wa waarabu na waislam
Kocha alikosea dharau mechiRonaldo hana lawama kabisa lawama zote anazibeba kocha
Nenda kaicheki nikishiba nakupigia unipe feedbackAcha roho mbaya wewe 😂😂
Hawa walioshinda ni waislamu, kafir unajichosha bure tu.Asante yesu wa nazaleti
Kaka mbona tunajuana hatutaki mamlukiTimu france piteni hapa tuandike majina yetu tujuane. Hatutaki mamluki tukishashinda...
Pole sana timu CR7.Hafai kabisa. Alikua anaenda na mseleleko wa bila wewe tunaweza akasahau ushirikiano na uzoefu pia unaweza ibeba timu
JamaniiiNdio akae karibu na Hospital, tusije kupoteza member mwenzetu
Kocha kiazi sana yule Dalot na Felix hawakutakiwa kuanzaAjabu sana kuona Cancelo anatokea bench, fullback mzuri sana kocha kamuanzisha bench.
Anyway, pumbavv waarabu!!
Eeeh mkuu,Vp waislam wa frm matumbi nao wanahesabiwa?