πππ nimefurahi sanaSitaki, umenipigia kelele muda ule sikio langu linauma
Ronaldo alikua analia maskini ππ
Dk 45 za pili alizoingia alifanya maajabu gan?Yeye alikuwa benched
Kuna niniHuku changing room wanatuonyesha nimi jamani
Si wengine watoto [emoji87]
Yani furaha yako ndio utuumize sieπππ nimefurahi sana
Liwekee maji kwanza lipoe
Next available flightNdege ipo airport tayari kwa kusafirisha
[emoji23][emoji23] Mwana Argentina mwenzangu.. Ebu nambie hapo ulipo ulinz uko Sawa Sawa au nikuongezee wengne waje.Nasema hainaga ushemeji tunayoagaaaaaa
Zamu ya nani leo zamu ya CR7
Sema kwa boss kama umepanikiYani furaha yako ndio utuumize sie
Nakunywa chai hapa inipoze maumivu π
Hukujiamjn,sentensi yako ilikua tata,hukuspecify nan atatushangaza, so basically hamna mashiko hapoNaomba pongezi kwa huu utabiri hata kama hamtaki Wakuu maana "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni" [emoji847]
Hilo limtu jinga sana, hata ile mechi dhidi ya Hispania lilikosa magoli ya wazi hivi hivi.Jinga hili linacheza kichoko limekosa goli..saivi linapewa redcard.
Uliweka pesa kwa kanjibhai ama uliishia kuandika tu humThe living comment, msiseme kama sikuwaambia.
Dah Franklin ongeza ulinzi baba[emoji23][emoji23] Mwana Argentina mwenzangu.. Ebu nambie hapo ulipo ulinz uko Sawa Sawa au nikuongezee wengne waje.
Maana maadui tunaozid watengeneza hatujui wanaplan nn zidi yetu [emoji23]
Vamoooooooooooooooos [emoji1033][emoji1033]
π€£π€£π€£Sema kwa boss kama umepaniki
Ngj aende nymbn na yy akapumzke na watt.I am going to tell Piers MorganView attachment 2442135
Jana zilitembea kadi za kutosha.Ile game ingeendelea watu wengi wangekosa next match,hasa kwa Argentina ambao wamepita.Naelewa sana mkuu hizo historia
Na uhuni kama huo wa jana sio mpya kwenye soka
Mimi nimecoment tu na wala sishangai hayo kutokea
Kama ni historia mkuu mbona hujasema kuwa hio mechi ya jana ndo imevunja rekodi ya kadi za njano 18!