Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huku changing room wanatuonyesha nimi jamani
Si wengine watoto πŸ™Š
 
Nasema hainaga ushemeji tunayoagaaaaaa
Zamu ya nani leo zamu ya CR7
[emoji23][emoji23] Mwana Argentina mwenzangu.. Ebu nambie hapo ulipo ulinz uko Sawa Sawa au nikuongezee wengne waje.

Maana maadui tunaozid watengeneza hatujui wanaplan nn zidi yetu [emoji23]

Vamoooooooooooooooos [emoji1033][emoji1033]
 
Dah Franklin ongeza ulinzi baba
Mpaka wategua mabomu wawepo maana leo Goat 🐐 mwingine kaaibika
Walitaka wote tuaibike
 
Naelewa sana mkuu hizo historia

Na uhuni kama huo wa jana sio mpya kwenye soka

Mimi nimecoment tu na wala sishangai hayo kutokea

Kama ni historia mkuu mbona hujasema kuwa hio mechi ya jana ndo imevunja rekodi ya kadi za njano 18!
Jana zilitembea kadi za kutosha.Ile game ingeendelea watu wengi wangekosa next match,hasa kwa Argentina ambao wamepita.
Mpira haujawahi kuwa lelemama.
Ndio maana watu wanavaa viatu na guardsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jana ulikuwa uhuni ulipitiliza Kiwango na ndio maana refa aliwekwa mhuni mhuni kwenye game za namna ile.
Hata hii game ya Francs na Wajukumu wa Marehemu utakuwa ubabe mwingi mno.
 
Back
Top Bottom