Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jana sub ya uholanzi(weghorst) kapiga goli 2 baada ya kuingia. Sasa huyo wako kacheza zaidi ya dk. 30, kama ana maajabu mbona hajafunga goli. Kubali tu ashaisha huyo hana maajabu.
Sawa mama nimekuelewa
 
Kuna jamaa adriz naona alidhania ni Morroco wenye hizi jezi
Sijachanganya mkuu ni uzi huu mkali Dunia nzima ,naweza kuweka screenshot nikiwaDm maduka makubwa dar kote mzigo umeisha wameagiza mwengine ,na tokea Greatest Of All Time alipoanzisha uzi wa Jezi za Kombe la Dunia niliutabiria makubwa huu uzi na kusifia leo unapeta..

Ukiwa na huu uzi haina haja ya kununua Gucci kabisa ,na nimeagiza J4 inshaAllah mzigo utafika na mimi nijipatie moja nitambe nayo mjini.
 
Kama unajua mpira basi utakubaliana na mimi ya kwamba Ureno walipata uhai baada ya Christiano kuingia
Sawa
Sasa huo uhai mbona haukuzaa golii??
Ni kweli walishambulia second half lakini Morocco hawakuwa wabaya pia
 
Hukujiamjn,sentensi yako ilikua tata,hukuspecify nan atatushangaza, so basically hamna mashiko hapo
Portugal alishawahi kufika nusu fainali kombe la dunia wala isingekuwa kitu cha kuishangaza dunia, Morocco ndiyo timu ya kwanza Africa kutinga nusu fainali kombe la dunia.

Bado hukunielewa ili niongeze sauti [emoji848][emoji6]
 
Utabiri wangu umetimia.Mungu ni mwema. Morocco anaenda KUTOLEWA katika nusu fainali ili MACHINGU na KILIO chao kiwe KIKUBWA ZAIDI.Rest in peace MOROCCO [emoji120]
Kuingia nusu fainali ni ushindi tosha tayari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…