Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Depal umenichunia kukwambia nakuja PM kushuhudia jinsi unavyopata hizo raha [emoji848]Wanna see him
Kabla sijalala
Dembele ni hatari zaidi kuliko Mbappe. Anaoiga cross nyingi sana za hatari, na anaweza ku-unlock tight defense.Dembele msimu huu yupo vizuri, anaye mkaba kazi anayo.
Acha ushamba wewe Ajentina ni kwa kiswahili wewe msukule wa andunje ππππAjentina ndio nini ?
Ficha kidogo ujinga wako kwenye baadhi ya vitu. Kwa nini usitamke ARGENTINA ?
Njoo pmWanna see him
Kabla sijalala
Nnakaziaaaaaa!!Kwapa atanyanyua Mbappe!
Miti yote huteleza..Siku ya kufa nyani
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sio history of mankind of African football, ni Arabic football history mkuu, don't get it twisted!!!
3 players of the First 11 players wa Morocco wameumia leo hii akiwepo Captain wa timu, vipi kuhusu next mechi, haitawagharimu Morocco kimatokeo [emoji848][emoji28]
Ustaz punguza itikadi kaliHawa walioshinda ni waislamu, kafir unajichosha bure tu.
Ustadh kutoka makete? Hamna hiyoUstaz punguza itikadi kali
Hawa walioshinda ni waislamu, kafir unajichosha bure tu.
Uliweka pesa kwa kanjibhai ama uliishia kuandika tu hum
Kumbe Andunje naye ana misukule [emoji848][emoji3]Acha ushamba wewe Ajentina ni kwa kiswahili wewe msukule wa andunje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relax.......hapo roho zipo juu juu.ππKinachohitajika ni Mbappe atulie asiwaze kuhusu golden boot (japokua ni yake hii) akaanza uchoyo tukapoteza nafasi
Niko mlangoniNjoo pm
Madam mwenye nini yake, kumbe chama moyaaaππNnakaziaaaaaa!!