SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Alijifunga mkuuUnazingua ujue, match na Canada ilikuaje??
Mbele ya Giroud na Mbappe England wasahau ushindi
Usiibeze timu ambayo haijapoteza points 3 mpaka sasaMorocco bado sana kwa ureno pengine anahitaji bahati zaidi kuliko uwezo...
Anapelekewa moto hatari
Ufaransa akimfunga England najikata mkuyengeMbele ya Giroud na Mbappe England wasahau ushindi
Wafaransa wanapenda kupaka paka rangi mpiraJana zilitembea kadi za kutosha.Ile game ingeendelea watu wengi wangekosa next match,hasa kwa Argentina ambao wamepita.
Mpira haujawahi kuwa lelemama.
Ndio maana watu wanavaa viatu na guards😀😀😀
Jana ulikuwa uhuni ulipitiliza Kiwango na ndio maana refa aliwekwa mhuni mhuni kwenye game za namna ile.
Hata hii game ya Francs na Wajukumu wa Marehemu utakuwa ubabe mwingi mno.
Sasa kwani mpira umeisha na matokeo yanamejulikana?Ulibisha sana asubhi hadi nikakwambia weka pesa
Ajentina hawezi kufika fainali labda wacheze 13 uwanjaniIla nimeanza kuwa na wasiwasi na morocco Hawa jamaa Wana jambo...
Kama fainali inanukia Argentina vs morocco 😀
Na ni kitu ambacho hakiwezekaniFrance akitolewa yani kombe la dunia litakuwa halina maana yeyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajentina hawezi kufika fainali labda wacheze 13 uwanjani