Kocha hajadharau mechi angemuanzisha ronado ndo tungesema kadharau mechi...Kocha alikosea dharau mechi
Wote watakaa kmy m1 baada ya mwngne walikua wengi sana wengne jana wameenda wanalia saiv wengne wako nymbn kitambo.. Wengne wanaondoka asbh.Mtanyamaza woteView attachment 2442430
Mtoe huyo kinyambe hapo leo hana dili kwenye msiba, usifanye watu wacheke waonekana wamefurahia kifo cha marehemuMtanyamaza woteView attachment 2442430
😁😁England Nye nye nyeee
Wah,[emoji23]
Kikosi kimesheheni akina Magwaya bila aibu "ooh is coming home"
Home ya Nye nye
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kaka 😂😂😂Anayecheka mwishoni hucheka zaidi.
Niliwaambia mimi. Hawa wetu.
Waamke mapema wawahi arobaini sijui hitma ya bibi Eliza[emoji16]Afu saizi jumapilo maana yake Engand wana masaa machache ya kulala ili waanze safari
Na jumapili kunakuwaga na nyomi ya wasafiri sijui walikumbuka kufanya booking mapema??
Lakini hawawezi kuwa wazembe sehemu zote najua katika hili walijipanga
Adventina hawana upaja wa kumtoa CroatiaSemi Final
Croatia vs ARGENTINA
Morocco vs FRANCE
FINAL
ARGENTINA vs France
Wa kwetu mwambie na Saint Anne kabisa na France yakeMimi kama morocco nitafurahi kuwafunga mabingwa watetezi
Yan ronado career yake anaimaliza vibaya sn
Ajentina anafurushwa na kroatia fainali inajirudia ile ya 2018Watoke tu
Toka kombe linaanza ni Argentina anapigiwa chapuo
Tuishi humo
Wapo wanatuchungulia Kwa mbaaali[emoji23][emoji108]Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba England ndio alikuwa tumaini la wengi humu
Mnajiskiaje kuona mliyemtuma aje kututuliza mmemkuta ametulia??
Mliyemtuma aje atuchore ametukuta tumeshika picha zake
Inaboa ila ndio hivyo siku zote mpira unamuheshimu fundi
Umeandika kishabikiSemi Final
Croatia vs ARGENTINA
Morocco vs FRANCE
FINAL
ARGENTINA vs France
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee dada jomoneee lol.Leo wametoka waandamizi [emoji1787][emoji1787]
Navyowasagia England
Utadhani hapo ndani simuoni Rahim na Mount
Argentina BINGWASemi Final
Croatia vs ARGENTINA
Morocco vs FRANCE
FINAL
ARGENTINA vs France