Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kocha alikosea dharau mechi
Kocha hajadharau mechi angemuanzisha ronado ndo tungesema kadharau mechi...
Msiishi kwa kukariri ronado wa sasaiv hana makali hayo mnayojiaminisha he is finished
 
Rasmi nimebaki sina team worldcup baada ya mkoloni kufurushwa nae leo na Waafrica halisi wote kutolewa mapema.
 
Yule dogo wa France anayevaa jezi namba 8 ni mzuri sana sema anacheza rafu hatarishi nyingi karibu na goli lake it's dangerous for him and his team.
 
Afu saizi jumapilo maana yake Engand wana masaa machache ya kulala ili waanze safari

Na jumapili kunakuwaga na nyomi ya wasafiri sijui walikumbuka kufanya booking mapema??

Lakini hawawezi kuwa wazembe sehemu zote najua katika hili walijipanga
Waamke mapema wawahi arobaini sijui hitma ya bibi Eliza[emoji16]
 
Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba England ndio alikuwa tumaini la wengi humu

Mnajiskiaje kuona mliyemtuma aje kututuliza mmemkuta ametulia??

Mliyemtuma aje atuchore ametukuta tumeshika picha zake

Inaboa ila ndio hivyo siku zote mpira unamuheshimu fundi
Wapo wanatuchungulia Kwa mbaaali[emoji23][emoji108]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Leo wametoka waandamizi [emoji1787][emoji1787]

Navyowasagia England
Utadhani hapo ndani simuoni Rahim na Mount
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee dada jomoneee lol.
 
Back
Top Bottom