Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nasikia Mpira wa Kane ndio unadondoka saa hii huko Tandahimba.
Jamaa biingwa la kupaisha yaani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapana bado

Nimesikia taarifa hapa kutoka BBC ikitangaza kuwa kesho Qatar Airways haitakuwa na route yeyote kutokana na sintofahamu ya ule mpira wanahofia unaweza ukagonga ndege yakatokea ya PRECISON Air

Pia wameshauri watu wa eneo hilo watembee wakiwa na helment mbaka pale watapotangaziwa kuwa hakuna tishio tena
 
View attachment 2442406
Hiki ndio kilikuwa kizazi bora cha England nacho kilitoka patupu. Hawa madogo bado sana labda WC ijayo.
Kabla ya mechi "France leo hachomoki kwa England hata kwa dawa

Baada ya mechi "Hiki ndio kilikuwa kizazi bora cha England nacho kilitoka patupu. Hawa madogo bado sana labda"

Hawa ndio binadamu wa kisasa
 
MORROCO vs Spain no one believed they will advance to the next stage

Morocco vs Portugal also no one believed they will advance

Now vs France I bet they will make through to the final
It's compulsory to believe that but MORROCO can lift the world cup because they have best statistics than any other team in the world cup campaign so far
 
Kabla ya mechi "France leo hachomoki kwa England hata kwa dawa

Baada ya mechi "Hiki ndio kilikuwa kizazi bora cha England nacho kilitoka patupu. Hawa madogo bado sana labda"

Hawa ndio binadamu wa kisasa
I tafuta comment niliyo sema "France leo hachomoki hata kwa dawa ".

UKIIPATA NAJITOA JF NA SITUMII JF TENA.
 
Huyu dada anajua ku control balls vizuri kuliko Maguire
 
I tafuta comment niliyo sema "France leo hachomoki hata kwa dawa ".

UKIIPATA NAJITOA JF NA SITUMII JF TENA.
Na mi sitaki ujitoe JF nitakuwa nimekukatiri sana bila kushuhudia uondo wa France hapa jamvini

We mwenyewe unaonaje kwanza flavour ya mpira anayoitoa France?
 
Na mi sitaki ujitoe JF nitakuwa nimekukatiri sana bila kushuhudia uondo wa France hapa jamvini

We mwenyewe unaonaje kwanza flavour ya mpira anayoitoa France?
Siwe wengine hatupendi uzushi na maneno ya kike ya kuzushiana.

Nitafutie comments ambayo nimesema

"France leo hachomoki hata kwa dawa ".
 
Siwe wengine hatupendi uzushi na maneno ya kike ya kuzushiana.

Nitafutie comments ambayo nimesema

"France leo hachomoki hata kwa dawa ".
Kwani hujaelewa kama nimetania au ni sles za kufungwa?

Au ulibeti?

Vamoooos Messi the GOAT

Maana bila hivo nyie hamtulii nawafahamu
 
Nilikuwa na timu moja. Nayo leo imeaga..nami naaga.

Ila maombi yangu ni Argentina aishie hapo hapo. Asiende fainali.
Utakufa kwa chuki kijana. Kombe la Messi hili bila wasiwasi wowote. Tena england ndio nilikuwa nawahofia maana kuna historia fulani.

Baada ya england kufurushwa basi ni raha mustarehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…