Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapana badoNasikia Mpira wa Kane ndio unadondoka saa hii huko Tandahimba.
Jamaa biingwa la kupaisha yaani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimesikia taarifa hapa kutoka BBC ikitangaza kuwa kesho Qatar Airways haitakuwa na route yeyote kutokana na sintofahamu ya ule mpira wanahofia unaweza ukagonga ndege yakatokea ya PRECISON Air
Pia wameshauri watu wa eneo hilo watembee wakiwa na helment mbaka pale watapotangaziwa kuwa hakuna tishio tena