I can't wait to see his last matchVAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Leo is my Goat🤍[emoji171]
[emoji238]….View attachment 2442673
I can't wait to see his last match
AsanteTeam Mbape hongereni.....
Kisa cha kubeba kibendera kilichounganisha morocco na qatar ni nn???
Hapa nachek live score naona zimebaki nneMechi ni mili tu mkuu
Morroco vs France
Argentina vs crotia
Shukran,nmechek google nmeelewa sasa,LS ilinivirugaMechi ni mili tu mkuu
Morroco vs France
Argentina vs crotia
Hapa nachek live score naona zimebaki nne
Tarehe 13,14,17 na 18
Umeisahau na timu yako ya simba iliyojaribu kuchoma karatasi yenye maandishi ya Kiarabu kwenye ile mechi na Orlando Pirates!
Basi kama Ni kweli nimeamini mabeberu Sio watu wazuri naona wamedhamiria.Mkuu,Qatar walilalamika kwa FIFA kua kuna uhuni unaendelea ili kuonyesha kua wahudhuriaji sio wengi,kuna "Watu" wananunua tiketi nyingi ambazo hazitumiki kuingilia viwanjani,lengo lao ni kuonyesha kua mechi hazina wahudhuriaji wengi,
Tiketi zinauzwa zote ila wahudhuriaji ni wachache.
Duh asante sana nimeelewa skujua hiliNusu fainali mechi 2
Kutafuta mshindi wa 3
Na fainali
Total mechi 4
Watamfunga tuu hahahaHao Argentina ili wakutane na France wamfunge Croatia kwanza kama wanaweza
[emoji1][emoji1][emoji1]
Hizi kelele ndio huwa zinawaponza. Mlianza kelele kwa Brazil, sasa hivi wapo kwao wanaangalia "wedikapu" kwenye TV kama sisi wamatumbi. Mkahamia kwa waholanzi, sasa hivi wapo kwao hawataki hata kusikia neno "Argentina". Mkahamia kwa Ronaldo na Portugal yake, naambiwa mpaka sasa amelia machozi ya kujaza majagi tisa!Imethibitishwa kuwa ndege ambayo Engalnd walitakiwa kuondoka nayo haina mafuta ya kutosha
So itawabidi wawasubiri Argentina ili waondoke pamoja
View attachment 2442686
Toa ufafanuzi je? mshindi wa tatu anapatikana vipi wakati hawahesabu pointiMechi ni mili tu mkuu
Morroco vs France
Argentina vs crotia
Morocco inabeba mambo mengi Uarabu,Uislam na kuwa located kwenye bara la Africa. Mimi jana niliona pia wamorocco wanashangilia wakiwa na bendera za Palestina.Kisa cha kubeba kibendera kilichounganisha morocco na qatar ni nn???