Hapa ninaomba France apite.Team work ya morroco sijapata kuona ..kwenye mechi na france yeyote anaweza kupita
Watakaopoteza nusu fainali watacheza wao kwa wao ili kupata mshindi wa tatu.Atakaeshinda kati ya semi final losers ndo mshindi wa tatu.Toa ufafanuzi je? mshindi wa tatu anapatikana vipi wakati hawahesabu pointi
samahani mkuu nieleweshe
Duh kwahyo wameona waafrica tunawashobokea wameona wajidivide kidini sasa,makubwa.Morocco inabeba mambo mengi Uarabu,Uislam na kuwa located kwenye bara la Africa. Mimi jana niliona pia wamorocco wanashangilia wakiwa na bendera za Palestina.
Hapa nami nimeleewa zaidWatakaopoteza nusu fainali watacheza wao kwa wao ili kupata mshindi wa tatu.Atakaeshinda kati ya semi final losers ndo mshindi wa tatu.
Second runner up alikua croatiaDah ukifatilia historia second runner up hua lazma wc ijayo or the next lazma achukue and am scared naona kama argentina ana chances kubwa hapa ukiachana tu na history wako fit this time[emoji25][emoji25][emoji25],prayingfor France akiii this gon be hard but Mungu yupo upande wetu.
FIFA Men's World Cup Winners List | FOX Sports
See our comprehensive FIFA Men's World Cup history guide for everything you need about the tournament. FIFA Men's World Cup results and which countries have won.www.foxsports.com
Watu wanajichekesha tuu, Argentina ya Leo Messi Inaenda kuandika historia ya kutwaa ubingwa baada ya miaka 36 tangu alivyofanya hivyo Diego Armando Maradona mwaka 1986 pale Mexico (Mekiko)Greatest Of All Time mkae chonjo
Hiyo ni kusadikika tu.Watu walisema Brasil atachukua kisa alichukua 2002 so baada ya 20 yrs ni wao,kama ilivyokuwa kwa France 1998 -2018.Second runner up alikua croatia
Ikijirudia atashinda Croatia.Natamani Fainali Ijirudie.
Japo FRANCE Sikutaka apite.
Croatia vs France.
Croatia....2022
Basi kama Ni kweli nimeamini mabeberu Sio watu wazuri naona wamedhamiria.
Wakishaanza siasa ndo basi tenaMorocco inabeba mambo mengi Uarabu,Uislam na kuwa located kwenye bara la Africa. Mimi jana niliona pia wamorocco wanashangilia wakiwa na bendera za Palestina.
Nimeandika historia ya england na Argentina ndio ambayo nilikuwa naiogopa.Hiyo historia 2018 ilikuwa wapi kipindi anafungwa 16 bora na ufaransa!?
Team work ya morroco sijapata kuona ..kwenye mechi na france yeyote anaweza kupita
SawaNimeandika historia ya england na Argentina ndio ambayo nilikuwa naiogopa.
Ufaransa tunaweza kumdhibiti maana hata kipindi kile alivyokuwa bora sana bado matokeo yalikuwa 4-3
Mtakatifu umelivalia sanaa njuga hii... ufaransa ni waitwa tuu kama waitwa wengine😂Endelea kukaza fuvu kamanda[emoji23]
Kweli uchawi upo[emoji1787]
Pamoja na ishara zote na miujiza na viashiria vyote kwamba wateule ni Ufaransa; bado kuna watu wamekomaza fuvu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Croatia vs france finalWatu wanajichekesha tuu, Argentina ya Leo Messi Inaenda kuandika historia ya kutwaa ubingwa baada ya miaka 36 tangu alivyofanya hivyo Diego Armando Maradona mwaka 1986 pale Mexico (Mekiko)
Tunabonyeza ngapi kupata vichekesho kama hivi [emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanajichekesha tuu, Argentina ya Leo Messi Inaenda kuandika historia ya kutwaa ubingwa baada ya miaka 36 tangu alivyofanya hivyo Diego Armando Maradona mwaka 1986 pale Mexico (Mekiko)
Ongeza sauti mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeandika historia ya england na Argentina ndio ambayo nilikuwa naiogopa.
Ufaransa tunaweza kumdhibiti maana hata kipindi kile alivyokuwa bora sana bado matokeo yalikuwa 4-3