Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dah ukifatilia historia second runner up hua lazma wc ijayo or the next lazma achukue and am scared naona kama argentina ana chances kubwa hapa ukiachana tu na history wako fit this time[emoji25][emoji25][emoji25],prayingfor France akiii this gon be hard but Mungu yupo upande wetu.

Second runner up alikua croatia
 
Natamani Fainali Ijirudie.
Japo FRANCE Sikutaka apite.

Croatia vs France.
Croatia....2022
Ikijirudia atashinda Croatia.

Ikumbukwe itakuwa sio mara ya kwanza kwa timu mbili kujirudia mara mbili katika fainali.

Ujerumani Vs Argentina walijikuta wameingia kwenye fainali mbili mfululizo za mwaka 1986 pale Mexico na ile ya mwaka 1990 pale nchini Italy.

Fainali ya mwaka 1986 walishinda Argentina wakati Fainali ya mwaka 1990 walishinda Ujerumani.
 
Basi kama Ni kweli nimeamini mabeberu Sio watu wazuri naona wamedhamiria.

Hakuna watu wenye roho ya kunguni (unafik) kama hao mabeberu

Imagine watu wanaitisha kikao bara zima kujadili hii kitu👇🏿👇🏿👇🏿
images - 2022-12-11T113748.365.jpeg
 
Morocco inabeba mambo mengi Uarabu,Uislam na kuwa located kwenye bara la Africa. Mimi jana niliona pia wamorocco wanashangilia wakiwa na bendera za Palestina.
Wakishaanza siasa ndo basi tena

Wajerumani- kuziba mdomo
images - 2022-12-11T113939.800.jpeg

Wakatupwa nje

Wakaja watu wa iran
Wakagoma kuimba national anthem kisa siasa
images - 2022-12-11T114013.030.jpeg

Wakalizwa 6 na kutupwa nje huku wamarekani wakiwashika sharubu na kubadili bendera yao

Wakaja England na kelele mingi mno
Na wakaleta uchochezi huku wakipiga goti kila mechi
images - 2022-12-11T114052.699.jpeg

Sasa hivi wako njian kurudi nyumbani

Hivo hivo kwa marekani na vibaraka zake kina Poland na wengineo

#sticktofootball
 
Back
Top Bottom