Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
Duh!...wewe ni mfaransa wa kuzaliwa au kuhamia ?..🙄🙄🙄..
 
Team Morocco

Team Croatia

Waleteni hao

France

Argentina


Hatuogopi mtu hata km wanatuona ni Underdog


Nasemaje

Round hii watacheza mshindi wa tatu sisi tunaingia fainali tumechoka kuwasindikiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi Kombe la Dunia 2010 mechi Kati ya Brazil dhidi ya Ivory Coast nilikuwa upande wa chama langu Brazil.

Ila wabongo wa huku mtaani swala la Morroco wanalikuza sana utakuta mtu anakazana ndio maana hawapo AU kisa wao wanajiona siyo waAfrica wakati kiuhalisia wapo AU na walijitoa kisa Hata mimi Kombe la Dunia 2010 mechi Kati ya Cote d'ivoire na Brazil nilishabikia chama langu Brazil.Ila wabongo kwenye ishu ya Morroco wanapigana kamba sana wengine wanasema "hawapo AU kisa kujiona wao sio waAfrica " wakati wapo AU wamerudi na walijitoa sababu ya kuona AU hawatendi haki kuhusu mgogoro wao dhidi ya Sahara ya Magharibi..
 
Waingereza washaanza majungu eti wanalaumu refa mechi yao dhidi ya France.
 
Ina maana kwa sasa hizi hapa ndizo timu nne bora Duniani kwenye mpira wa miguu?
  1. France
  2. Morocco
  3. Argentina
  4. Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…