Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Waaaah France
emoji23.png
emoji23.png

Moto si wa kitoto
emoji91.png
Morocco wanakusubiri kwa hamu kuweka rekodi mpya ya kutinga fainali...😂😂
 
Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
Duh!...wewe ni mfaransa wa kuzaliwa au kuhamia ?..🙄🙄🙄..
 
Team Morocco

Team Croatia

Waleteni hao

France

Argentina

Hatuogopi mtu hata km wanatuona ni Underdog

Nasemaje

Round hii watacheza mshindi wa tatu sisi tunaingia fainali tumechoka kuwasindikiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
Hata mimi Kombe la Dunia 2010 mechi Kati ya Brazil dhidi ya Ivory Coast nilikuwa upande wa chama langu Brazil.

Ila wabongo wa huku mtaani swala la Morroco wanalikuza sana utakuta mtu anakazana ndio maana hawapo AU kisa wao wanajiona siyo waAfrica wakati kiuhalisia wapo AU na walijitoa kisa
Watu hatuishabikii Morroco sio kwasababu ya yule kibopa liyezingua (actually inaweza kuwa sababu sometimes)

Morrocco amekutana na timu nayoikubali ambapo hata katika hiyo nafasi ya Morrocco angekuwa Taifa Stars bado nisingeshabikia Timu ya taifa langu
Hata mimi Kombe la Dunia 2010 mechi Kati ya Cote d'ivoire na Brazil nilishabikia chama langu Brazil.Ila wabongo kwenye ishu ya Morroco wanapigana kamba sana wengine wanasema "hawapo AU kisa kujiona wao sio waAfrica " wakati wapo AU wamerudi na walijitoa sababu ya kuona AU hawatendi haki kuhusu mgogoro wao dhidi ya Sahara ya Magharibi..
 
Waingereza washaanza majungu eti wanalaumu refa mechi yao dhidi ya France.
IMG_20221212_165722.jpg
 
Ina maana kwa sasa hizi hapa ndizo timu nne bora Duniani kwenye mpira wa miguu?
  1. France
  2. Morocco
  3. Argentina
  4. Croatia
 
Back
Top Bottom