Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sure,hata mimi ni supporter wa Messi ila nilijikuta kuingiwa na huruma kwa CR7 kwa hali aliyokua nayo baada ya mechi,ukichanganya na uchungu aliokua nao wakuanzia bench.
 
Tulianza na Mungu, tunatembea na Mungu tutamaliza na Mungu.
Mungu hajawahi kutuangusha. Ndo maana hata kwenye kupiga zile penalty za juzi wachezaji walipiga dua kwanza.
Kwa uwezo wa Mungu kombe litakuwa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…