Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Shida umetolewa na nani na kivipi
Inabidi mkubali jamaa yenu kaisha ndio maana anapigwa benchi mpka huko ureno ujue ni uwezo..!

Inakuwaje mchezaji mkubwa hana team? Nyiee kweli mmekunywa maji ya bendera
Shida ni kufungwa na timu ndogo?

Kumbuka ulipigwa na Saud ambayo ni kubwa kwa Morroco

Swala la yeye kutokuwa na timu ni maamuzi yake binafsi that's why kuna Club zimemtaka na akazitolea nje
 
Shida ni kufungwa na timu ndogo?

Kumbuka ulipigwa na Saud ambayo ni kubwa kwa Morroco

Swala la yeye kutokuwa na timu ni maamuzi yake binafsi that's why kuna Club zimemtaka na akazitolea nje
Haya Argentina alipigwa na Saudi wako wapi hao Saudi?

Morocco kawapiga yupo nusu.

Kila club imempiga spana labda akacheze Burundi huko tena anaanzia benchi.
Chelsea, Madrid, Dortmund, arsenal, city,inter, Napoli mpaka ac Milan

Jamaa mnapitia mateso makali
Huku simba mnadandia Costa huku mr penalty anakula msoto daah
 
Namna alivyofika Morrocco nusu pamoja na Argentina kila mtu haelewi wamefikaje fikaje

Ni timu ambazo kila mtu anajiuliza imekuwaje zikawa hapa zilipo

Ronaldo kukataliwa na timu zingine sio kwasababu ya kiwango ni kwasababu ya tabia

Juzi baada ya Portugal kufungwa viongozi wengi walilaumu kuwa matokeo yale yalichangiwa na swala la Ronaldo kuanzia benchi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…