February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Kuna msemo kwenye footballIsmail Elfath (referee aliyechezesha match ya Brazil na Cameroon) akipewa match ya Croatia na Argentina naamini Argentina hatokwenda popote....
Argentina alibebwa na Yule referee muhuni aliyewachezesha katika 16 Bora
Ngoja tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Washabiki wa Ronaldo mnateseka sanaTujuane mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaView attachment 2445173
Lionel Messi hattrickWatu wetu wa vamoooss!!!
Tutakuepo hapa majira ya saa 6 usiku kuwapa faraja
mechi zote zilizobakia Tbc anaonyesha
Teh teh 😂😂 wale ni wafaransa mkuu, huo ubantu wao usikubabaishe.Ahueni kwenye kikosi cha Ufaransa kuna Wabantu wenzangu, hata kama hawakuzaliwa Afrika.
Keep dreaming bro...wet dreamsUnfortunately morrocan team will surprise the world of football, I have a nightmare dream yesterday morrocan Won trophy.!....let's wait....
Alikufa 3-0 na Messi akiwemo....😂😂😂....yaani Croatia walimfunga Argentina na Messi maana hizo ni team mbili ndani ya timu moja.2018 Argentina na Croatia walikutana Croatia akashinda ila keeper wa argentina wa kipindi kile hakuwa mzuri kama wa sasa...
Pia wachezaji wa kipindi kile sio wa leo....
Ushindi ni wetu safari hii
Bado tutasimama na Ufaransa, iwe jua,iwe Mvua..Teh teh 😂😂 wale ni wafaransa mkuu, huo ubantu wao usikubabaishe.
Bora ushabiki Morocco tu.
Scars Victoire Saint Anne
Sawa kipa sio huyu, wachezaji ni wapya except MessiAlikufa 3-0 na Messi akiwemo....😂😂😂....yaani Croatia walimfunga Argentina na Messi maana hizo ni team mbili ndani ya timu moja.
Ila kwa leo huenda La Pulga akawapeleka Argentina fainali, japo kibarua sio rahisi.
Good match to watch..
Mpaka saizi ni timu mbili tu ambazo hatuelewi zimefikaje hapa zilipo
Argentina na Morrocco kila mtu anajiuliza imekuwaje wakafika nusu fainali
Messi na penati 3 lakini bado yuko chini ya Mbappe
Bila penati hata hizo goli 4 asingefikisha, na hiyo kwasababu hawezi ku fight hard kama Mbappe
Tatizo vijisentTujipange tena twende US kama akienda MLA, mara ya kwanza na ya mwisho was 2010 kule kwa madina.
Leo is my Goat🤍[emoji171]
[emoji238]….
Ndyo
TBC wana ubavu wa kuacha kuonyesha burudani kutoka kwa GOAT? Wataonyesha usihofuWadau naomba kuuliza vipi mechi ya leo TBC wataonesha?
Ya Agentina vs Croatia
Maana huku niliko ni stars times shughuli ziko kwa wachache tena mabandani kama hawaonyeshi nianze mdogo mdogo nikawahi siti na safari ya kufika huko
Hee!Yule Konate jina la kibongo ni Ibrahim Mwakifuna