Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ismail Elfath (referee aliyechezesha match ya Brazil na Cameroon) akipewa match ya Croatia na Argentina naamini Argentina hatokwenda popote....

Argentina alibebwa na Yule referee muhuni aliyewachezesha katika 16 Bora

Ngoja tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna msemo kwenye football
"The winner celebrates, the looser explains"
 
Tujuane mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
shutterstock_1383968027-1-1-pox01omf0b0hhtkw8xprpr9edqrxx74mcmw14tax68.jpg
 
2018 Argentina na Croatia walikutana Croatia akashinda ila keeper wa argentina wa kipindi kile hakuwa mzuri kama wa sasa...
Pia wachezaji wa kipindi kile sio wa leo....
Ushindi ni wetu safari hii
Alikufa 3-0 na Messi akiwemo....😂😂😂....yaani Croatia walimfunga Argentina na Messi maana hizo ni team mbili ndani ya timu moja.

Ila kwa leo huenda La Pulga akawapeleka Argentina fainali, japo kibarua sio rahisi.

Good match to watch..
 
Leo majitu kazi tupo dimbani kuwapa furaha wadau wote wa soka kuanzia Buenos Aires mpaka Lisbon ,tandahimba mpaka London hehehehe

Dunia nzima itasimama kumshuhudia the football magician, the undisputed world's best footballer ever......LIONEEEEL MESSIIIII......

Prediction Croatia 1:2 Argentina

Tukutane fainali
 
Unaambiwa mashabiki wa Croatia Leo wanaenda kwa lengo LA kumshuhudia messi tu akitoa burudani wala hawana muda na taifa lao hehehehe.....wanakwambia burudani kwanza uzalendo baadae
 
Alikufa 3-0 na Messi akiwemo....😂😂😂....yaani Croatia walimfunga Argentina na Messi maana hizo ni team mbili ndani ya timu moja.

Ila kwa leo huenda La Pulga akawapeleka Argentina fainali, japo kibarua sio rahisi.

Good match to watch..
Sawa kipa sio huyu, wachezaji ni wapya except Messi
 
Wadau naomba kuuliza vipi mechi ya leo TBC wataonesha?

Ya Agentina vs Croatia

Maana huku niliko ni DSTVs shughuli ziko kwa wachache tena mabandani kama hawaonyeshi nianze mdogo mdogo nikawahi siti na safari ya kufika huko
 
Mpaka saizi ni timu mbili tu ambazo hatuelewi zimefikaje hapa zilipo

Argentina na Morrocco kila mtu anajiuliza imekuwaje wakafika nusu fainali

Messi na penati 3 lakini bado yuko chini ya Mbappe

Bila penati hata hizo goli 4 asingefikisha, na hiyo kwasababu hawezi ku fight hard kama Mbappe

Mpaka sasa Messi ni top rated player anaongoza akifatiwa na mbappe mwenzetu statistics zako unatolea wapi??. Kama kufunga penalty ni kazi rahis muulize kane.

Croatia ni timu mpaka sasa imefika semis kibahati leo wanakutana na kichapo. Tusubiri muda ufike
 
Wadau naomba kuuliza vipi mechi ya leo TBC wataonesha?

Ya Agentina vs Croatia

Maana huku niliko ni stars times shughuli ziko kwa wachache tena mabandani kama hawaonyeshi nianze mdogo mdogo nikawahi siti na safari ya kufika huko
TBC wana ubavu wa kuacha kuonyesha burudani kutoka kwa GOAT? Wataonyesha usihofu
 
Back
Top Bottom