professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
HahahahahahahahaTBC wana ubavu wa kuacha kuonyesha burudani kutoka kwa GOAT? Wataonyesha usihofu
We saa 4:45 utakuwa umeshalalaWatu wetu wa vamoooss!!!
Tutakuepo hapa majira ya saa 6 usiku kuwapa faraja
Wote hatuelew mkuuHebu nisaidieni kwanza.
Mwenzenu kuna kitu kinanichanganya kinoma.
Tangu asubuh, kila nyuzi ninayo ingia nakutana na haya makitu...
# Source 1
# Source 2
Tunacho jua.
Hivi haya makitu yanahusu nini, mbona sielewi?
Nifungueni kwanza ili na mimi niende na beat.
Umeona ss Saint unaleta usimba na yanga hapa kwa watu wenye akili acha mkuu nakuheshimu sanaBado tutasimama na Ufaransa, iwe jua,iwe Mvua..
Yule Konate jina la kibongo ni Ibrahim Mwakifuna...
Liver tumemtuma akanyanyue kwapa .
AmeeeenFinal
France v Croatia
Winner: France.
Naona umepost halafu wewe mwenyewe ukajichekaFinal
France v Croatia
Winner: France.
Print ibandike geto kwako uwe unajikumbushaNaona umepost halafu wewe mwenyewe ukajicheka
Kwahiyo ni Mods tu wameamua kuturusha mzigo, sio?Wote hatuelew mkuu
Mtapata tabu sanaPrint ibandike geto kwako uwe unajikumbusha
Kuota sio kosa kisheria, kwahiyo we endelea tu.Final
France v Croatia
Winner: France.
Leo andunje atalia kama mwenzakeMtapata tabu sana
Mkuu messi atalia tarehe 18 pale ambapo hataamini macho yake kuona anaipatia Argentina kombe LA dunia huku vibwengo wengine wooooote wakitafuta pa kuficha sura zaoLeo andunje atalia kama mwenzake
Pigeni ile mitakataka mifaransaMorocco tunaendelea kuunoa.
Mleteni yeyote yule, tumpakue.
Mfaransa anachapika vizuri tu.Pigeni ile mitakataka mifaransa
Tatizo vijisent