Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hebu nisaidieni kwanza.
Mwenzenu kuna kitu kinanichanganya kinoma.

Tangu asubuh, kila nyuzi ninayo ingia nakutana na haya makitu...

# Source 1

# Source 2

Tunacho jua.

Hivi haya makitu yanahusu nini, mbona sielewi?

Nifungueni kwanza ili na mimi niende na beat.
 
Wote hatuelew mkuu
 
Haya wa tibisii,yan sku wakiifungia yaccine asee watakua wamenimaliza
Screenshot_20221213-155806_Instagram%20Lite.jpg
 
Pigeni ile mitakataka mifaransa
Mfaransa anachapika vizuri tu.
Kisha tunamaliza na atakae jifanya mbabe leo.
Nilipenda tukutane na Croatia, tuendelee tulipo ishia kwenye game yetu ya mwanzo.

Ila hiyo haimaanishi tunamuogopa andunje.
 
Back
Top Bottom