Rated na underrated vyote hivi hutegemea na jinsi una mashabiki wangapi wanao kusapotiMpaka sasa Messi ni top rated player anaongoza akifatiwa na mbappe mwenzetu statistics zako unatolea wapi??. Kama kufunga penalty ni kazi rahis muulize kane.
Croatia ni timu mpaka sasa imefika semis kibahati leo wanakutana na kichapo. Tusubiri muda ufike
Lionel Messi hattrick
Leo majitu kazi tupo dimbani kuwapa furaha wadau wote wa soka kuanzia Buenos Aires mpaka Lisbon ,tandahimba mpaka London hehehehe
Dunia nzima itasimama kumshuhudia the football magician, the undisputed world's best footballer ever......LIONEEEEL MESSIIIII......
Prediction Croatia 1:2 Argentina
Tukutane fainali
Unaambiwa mashabiki wa Croatia Leo wanaenda kwa lengo LA kumshuhudia messi tu akitoa burudani wala hawana muda na taifa lao hehehehe.....wanakwambia burudani kwanza uzalendo baadae
Baada ya game ukiambiwa hawa watu waliwahi kuandika hivi unaweza ukabishaTBC wana ubavu wa kuacha kuonyesha burudani kutoka kwa GOAT? Wataonyesha usihofu
Unateseka ukiwa shimo gani wewe........Baada ya game ukiambiwa hawa watu waliwahi kuandika hivi unaweza ukabisha
Wala haina haja ya kuwashikia viboko watajiongeza wenyewe tuHaters wa Messi andaeni ID mpya maana mlizonazo baada ya mechi mtazionea aibu
Kongole mkuu...uliona mbalinazitabiria team nyingi za Afrika kufika hatua za mtoano, robo, nusu hata fainali.
Wewe ndio una tabia ya kugeukageuka. Ulikuwa Brazil, Portugal na sasa umeenda Ufaransa yote kwasababu ya chuki kwa Messi unajitahidi upate timu itakayomfanya asibebe world cup lakini ulishindwa na utaendelea kushindwa.Baada ya game ukiambiwa hawa watu waliwahi kuandika hivi unaweza ukabisha
Mkuu unajua kua mpaka sasa hivi Morocco ndio team yenye defence imara? Usiwachukulie poa kihivyo.Hii leo ndio mechi, kesho inajulikana nani atapigwa za kutosha.
Croatia wapo vizuri, Argentina wapo vizuri, Dk 90 zitaamua, Lakini naiona Argentina na France fainali.
Wa kisasaNdo hawa waisilamu wenyew???
Zaire ilifungwa 9-0 na Yugoslavia World cup ya mwaka 1974 German,Uchawi hauvuki bahari kamuulize Mobutu
We unaona kabisa Morocco ni ya kuifunga Ufaransa..Mkuu unajua kua mpaka sasa hivi Morocco ndio team yenye defence imara? Usiwachukulie poa kihivyo.
Tulipokaribia kufika, dini itabaki kwenye makaratasi yenye vumbiWa kisasa