Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Rated na underrated vyote hivi hutegemea na jinsi una mashabiki wangapi wanao kusapotiMpaka sasa Messi ni top rated player anaongoza akifatiwa na mbappe mwenzetu statistics zako unatolea wapi??. Kama kufunga penalty ni kazi rahis muulize kane.
Croatia ni timu mpaka sasa imefika semis kibahati leo wanakutana na kichapo. Tusubiri muda ufike
Messi kwenye michuano hii anaruka ruka tu sijaona chochote alichokifanya kuonesha uhodari wake.
Croatia sio timu iliyofika nusu kwa bahati, Argentina na Morrocco ndio sielewi elewi zimefikaje hapa
Ngoja tuone muda uamue