Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
We Kwa fainali ya kupelekwa na FIFA hiyo unajiona umepambana kweli
KwaniniNilitaka nikatazame mechi kipindi cha pili ila nimeghairi sasa naona Adidas wameshatembeza bahasha kama tuzoo ya mchongo 2010..
Unajiandikia tu ilimradi. Croatia alimpiga Argentina 3 nunge ndio akatinga fainal.Croatia walipigwa 4 fainal unawaamini?ππππ Timu mbovu hii ilikuwa inacheza na wabovu tuπ π π π π
Poland,dutch na Leo zote penati za kipumbavuHuyu refa kaharibu mechi
Penalty ya mchongo
Sisi siyo baiskeli ya mabua kama Ureno sisi ni ππ¦π·Usikae mbali na comment yako hii mkuu, kutangulia sio kufika
Mnapata tabu ila uwezo ndio utakao amua na si roho zenu mbaya.Messi asibebe hii ndoo, Ronaldo atadhihakiwa sana
Mkuu ile haikua rafuAsa kama kacheza rafu wasiazibiwe?
Wupoooo ππππππππ!!??Kunywa novida mkuu
Unajiandikia tu ilimradi. Croatia alimpiga Argentina 3 nunge ndio akatinga fainal.
Eti afu ndiye mchezaji bora anayedownload tuzo nyingine tena ya uchezeji bora wa dunia [emoji28]Hivi messi mbona anawazoea sana marefa ! Anaongeaga nao nini sijui kwanini asilimwe kadi?
Hili jambo linanikera sana.
Vipi? Ramli zenu zinasemaje huko?Poland,dutch na Leo zote penati za kipumbavu
Nipo π€£Wupoooo ππππππππ!!
Hatareee tupu!! Pozi sinaaaaa
Any updates???πππππCroatia wanakichafua balaa.
Timu andunje mujiandae kwa maumivu.
Ndo hivo asee hizi VAR huwa hazielewekiPoland,dutch na Leo zote penati za kipumbavu
Sidhani kama zitarudi izoooUshapata preshaaaaaπππππππ
utakuwa unaangalia mpira wa TBC wewe kipa angetuliza mironjo uone kama asingepigwa goli kiherehere kimemponza zaidiMkuu ile haikua rafu
Alvarez alishapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Ila ndo hivo penalty za mchongo siku hizi ziko nyingi sana
Group stage Croatia alimpiga Argentina 3 bila.Argentina alitolewa na ufaransa