Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Taratibu bhasiiiAny updates???😁😁😁😁😁
Ngoja tuone ila nakuhakikishia goli zinarudi,Sisi siyo baiskeli ya mabua kama Ureno sisi ni [emoji117][emoji1033]
Argentina ilikuwa mbovu kipindi kile sio leo😀😀😀😀😀Unajiandikia tu ilimradi. Croatia alimpiga Argentina 3 nunge ndio akatinga fainal.
Naona 45 zishasemaaaa Nani mbabe si 90 tenaaa😁😁😎!!.Nipo 🤣
Ila trust Var zinarudiiii
Mkuu upo?Ngoja nikakojoe nilale sasa.
Upumbavu
Croatia sawa na demu anayeitunza bikra kwa ahadi mpaka akiolewa, anakuja kuchakatwa siku 1 kabla ya ndoa na msela pico
Mkuu mimi sina Baya,..Mtaongea sana, ila wanajua.. so, tuna letu jambo waargentina.
Ajentina hawezi kufika fainali labda wacheze 13 uwanjani
Kwa anaetaka kubeti na kumla mhindi hii world cup, ukiona huyu jamaa kasema hivi wewe weka mkeka vice versa
Nipo nduguMkuu upo?
Sio kwa dalili zile za Argentina 🙌🙌🙌Ngoja tuone ila nakuhakikishia goli zinarudi,
HeheTaratibu bhasiii
Kiufupi wanalazimisha andunje achukue ubingwa.Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Hata watangazaji wanalisema hilo
Ila kwa unafiki wao wanapotezea
Pole sanaWupoooo [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!??
Hatareee tupu!! Pozi sinaaaaa
Time will tell...Ngoja tuone ila nakuhakikishia goli zinarudi,
Naona Croatia wanataka kukuharibia usiku wakoNipo ndugu
Sijapoa hata!! Hadi turudisheee japo naona kabisaaa hatariii hioooPole sana
ZinarudiiiSijapoa hata!! Hadi turudisheee