Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

utakuwa unaangalia mpira wa TBC wewe kipa angetuliza mironjo uone kama asingepigwa goli kiherehere kimemponza zaidi
Kwani mpira wa TBC na mwengine si huo huo mkuu.

Penda chako basi

Penalty kama hizo tushazizoea tunaziona EPL kila weekend

Hapa tunakomenti tu mkuu

Huu mchezo hahuitaji hasira
Sio vita muraa
 
Kwani mpira wa TBC na mwengine si huo huo mkuu.

Penda chako basi

Penalty kama hizo tushazizoea tunaziona EPL kila weekend

Hapa tunakomenti tu mkuu

Huu mchezo hahuitaji hasira
Sio vita muraa
kesi kushneiiii
 
Uchezaji kwenye ligi na kombe ni tofauti
Kama WC mpaka final ni mechi kama sita tu kwahio watu wanakaza
 
Kila siku nawaambia, usilete wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Huyu Croatia ndio alimnyanyasa kipenzi chenu Brazil? Sasa tulieni muone wanaume wanavyodeal na vijana watukutu kama hawa!

Na wale mliokua mnasema Croatia atatutoa, anzeni mapema kutafuta team nyingine ya kushabikia. Na huko mnakoenda, mue na uhakika wa kufuzu. Sisi mtatukuta hapa fainali tunawasubiri!

Messi anatuwahisha kwa speed ya bodaboda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…