Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina

Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
Duh kwa jinsi waingereza walivoipeleka France sidhani kama wana ubora huo

Labda wangekuwa na Kante na Pogba

Ila hii Argentina wana Messi na wachezaj 10 wengine ndo shida inaanzia apo

Na jinsi kila mechi wanapewa penalty

Namuona Upemecano au Hernandez ( vichwa vyao havijatulia hawa watu)wakitoa penalty laini kabisa kama wakikutana fainali!

Game inaeza kuisha mapema sana

Bora Morocco watawatoa jasho kidogo
 
Mna maana gani kusema FIFA wanataka Messi achukue

Kalale tu mrembo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
No way nishakubalii matokeo halali mtyuuuuuu 😁😁😁😁!!

ussshhhhuuuuunggguuuuuu πŸ™†πŸ™† 😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…