computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Amka utajikojolea kitandani.Mfaransa kesho asipokaa vizuri atajikuta anazindukia huko kwao baada ya kupigwa na kitu kizito
Sio kwa Moroco !!Usiseme hivyo, maajabu bado hayajaisha hii WC...
Mwenyewe hapa naombea hivyo, manake yale maneno ya Wamorocco yalitukera wengi. Ila mpira ni mchezo wa maajabuThubutuuuuuuu!!! Moroco kwa France Hawatoboiii
Must watch gameArgentina vs France moto lazima uwake.
Bado hajabeba uefa mwakani naona mambo yamemnyookeaTuzo ya mchezaji bora inamsubiri messi.
Kombe LA dunia linawasubiri Argentina
Tukutane fainali
Watu Wana TV zao tofauti .Mimi siwaelewi watu wanaosema FIFA imepanga Messi anyanyue kwapa WC.
Hivi kwa WC hii ya 2022, kweli mtu unathubutu kuongea upuuzi huu?
Mtanange umekuwa mkali kwa kila timu, zilizoshiriki tumeona maajabu ya underdog team zilivyofanya maajabu.
Tumeona zilizotegemewa kuingia fainali, zikiondoka kwa vilio.
Bado mtasema Messi anapendelewa?
So toka walivyoanza walikiwa wanapewa maelekezo?
Argentina mpaka kufika hapa ni jitihada jamani, kama ilivyo Morocco.
Sahihi kabisa, wale jamaa wapo vizuri kujilinda na kaunta attackMfaransa kesho asipokaa vizuri atajikuta anazindukia huko kwao baada ya kupigwa na kitu kizito
Ndugu, pumzisha fuvu.Nadhani fainali tena Argentina itapewa hata penalty zaidi ya 2 kwa jinsi inavyokariri bila penalty haifiki popote [emoji56]
Croatia, haya umeridhika Mwalimu wa lugha toka Mwabepande [emoji848][emoji57]Hamna timu inaitwa hivi wc hii
Tunasafirisha usiku huu huu...Jamani tunasafirisha usiku huu au tunazika hapa hapa
Finali ni yetu
Kamati ya mazishi andaeni jeneza la croatia wakati huo huo jeneza la France liandaliwe
Yah wapo vizuriSahihi kabisa, wale jamaa wapo vizuri kijilinda na kaunta attack
Sawa Mama Watoto [emoji16]Ndugu, pumzisha fuvu.
Mmh Moroco akitoboa Itakua miujizaa!!Mwenyewe hapa naombea hivyo, manake yale maneno ya Wamorocco yalitukera wengi. Ila mpira ni mchezo wa maajabu