Ulipoteaaa uliogopa maneno ya mavuvuzelaaa??Much love to you mateπ€[emoji171]
Nakadori bebe, najua leo furaha iko nyingi mpaka inamiminika.
Niitie Scars na Saint Anne waje tuendelee na darasa la mpira. Waambie leo pia darasa ni bure!
Huyo mbuzi wao anaimbwa imbwa kwa magoli ya penalty tena za mchongo. Ngoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018Nadhani fainali tena Argentina itapewa hata penalty zaidi ya 2 kwa jinsi inavyokariri bila penalty haifiki popote [emoji56]
Na tulisema tumeanza na Mungu tunatembea na Mungu tutamaliza na Mungu.Wahuni wamehamia France eti.. Kokote mtakakokimbilia tutawafata na tutawagonga.. Mungu hajawahi kumuepusha na aibu mtu mwenye chuki binafsi
Watu wangeona sinema ya bureeWe will never forgive you Messi, never. π€£ π€£ π€£
We acha tu, kwa upande wa madem wa kali ndani ya WC Croatia [emoji1082] wametisha sana ila kwa upande wa matokeo mazuri Argentina [emoji1033] na Morocco [emoji1173] mmoja wao anastahili kubeba kombe.Ila Croatia wakitoka tutawakumbuka sana kwa warembo wao! Aise mashabiki warembo wa croatia ni balaa!
Hayo ndiyo yanayofanya owe HARAMU kwa sababu huwezi vitenganisha kwa sasaMaria.... tatizo sio mchezo wenyewe ila yanayoambata na mchezo....
Ukiuhukumu mchezo ina maana hao wachezaji nao wanatenda dhambi kucheza mpira, unakosea maana michezo haijakatazwa kwenye dini
Dhambi ni hayo ya kando ila mchezo hauna tatizo lolote.
Tote hayo amesbabisha messiWatu wangeona sinema ya buree
Jamani KUSEMA ukweli imekuwa nongwa?Hee! Na nyie wa hivi mpo kwenye huu uzi?