Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tote hayo amesbabisha messi
Dadake HAPO alipofikia amefanya kadri ya UWEZO WAKE .....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Croatia leo walikuwa vizuri eneo la kati mbona mmeshinda??

Tutashinda bila hao kwasababu uwezo upo, timu mpaka inapata matokeo unaona inapambana na sio kutegemea penati
Hivi kumbe upo kaka mkubwa?

Haya tuambie, hizo penati sio sehemu ya mchezo? Vipi, watu wakicheza rafu refa asitoe penati kwakua wewe haupendi?
 

Nipo mda sana nilishindwa kushika simu lile goal la tatu, vile Leo amefanya aseee nilikuwa na furaha ya ajabu yani machozi yalitoka kwa furahaπŸ₯Ή nilipiga shangwe zito sana hapa nilipokuwa watu wa hapa wataenda kusimulia huko makwao.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat🀍[emoji171]

[emoji238]….
 
Timu Morocco tujuane kabisaa kabla hapaja pambazuka.
Mamluki hatuwataki.
Kama ulisha shabikia Brazil sijui England, samahani tusameh, hatuhitaji msaada wako.

MOROCCO NDIO BINGWA
Hatoboi kesho wataonewa saana
 
Kuna msemo kwenye football.
"The winner celebrates, the loser explains"
 
Basi tufanye imeisha bila bila ofsa mbona unalia?
 
Huyo mbuzi wao anaimbwa imbwa kwa magoli ya penalty tena za mchongo. Ngoja akutane na kijana Mbappe atamuonesha shughuli kama ile ya mwaka 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumechoka!

Mara ngoja wakutane na uholanzi, mara ngoja wakutane na croatia, mara ngoja wakutane na Mbappe!

Tumechoka, kusanyeni wote waliobaki waunde team moja alafu muwalete tumalizane nao. Maana inakoelekea, hata Ufaransa tutampapasa alafu mseme na yeye ni kibonde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…