Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Washamba walianzia kwa Mexico
 
Achana nao wafamaji hao. Baada ya ufaransa utawasikia wakisema ngoja wakutane na taifa stars ya kibu denis, wabongo hawaishiwagwi nongwa
 
Teh teh teh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wale wengine wameshalala....
Saint Anne Numbisa Carleen...Messi kawaharibia Usiku..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

Na medali ya ubingwa atavaa...na tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inamsubiri..
Team Messi huwa mnanichosha hapo tu, hamuwezi sheherekea vitu vyenu kimya kimya mpaka msumbue watu waliolala zao..!!๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Depal and Fohadi nina neno nanyi ndugu zangu...!!
 
Mpira hauchezwi mafichoni, ni mchezo wa hadharani kabisa.

Kuna muamuzi wa kati, lines men wawili, VAR pamoja na teknolojia kibao. Yani hata ule mpira unaopigwa, ndani yake kuna vifaa vya kuwasaidia waamuzi.

Porojo za kubebana achia ligi ya bongo, sio world cup!
 
Mabeko wa Croatia wazembe pale hata Mwamunyeto asinge zungushwa na chenga za Messi kiboya kama vile .Hii mechi Croatia wngetuachia Brazil Argentina tungemdhalilsha vibaya mno..
Hahaha yani brazil mlikaza matako kwa mume wenu Crooatia mkatoka 1:1 tena hilo moja mlifunga kwa mbiiiiiinde yani dakika za 110+ huko na mkasawazishiwa.
Halafu mnataka mkutane na aliyemfunga mme wenu 3 bila ndani ya dakk 90 tu?
 
Vamossssss
Kuanzia leo utashangaa kila unayemgusa anajiita argentina
 
Nasubiri mechi ya kesho.Nitabiri mshindi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Leta mkono tushindane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ