Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tumechoka!

Mara ngoja wakutane na uholanzi, mara ngoja wakutane na croatia, mara ngoja wakutane na Mbappe!

Tumechoka, kusanyeni wote waliobaki waunde team moja alafu muwalete tumalizane nao. Maana inakoelekea, hata Ufaransa tutampapasa alafu mseme na yeye ni kibonde!
Washamba walianzia kwa Mexico
 
We will never forgive you Messi, never. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Image
Ooooh shit what a miss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumechoka!

Mara ngoja wakutane na uholanzi, mara ngoja wakutane na croatia, mara ngoja wakutane na Mbappe!

Tumechoka, kusanyeni wote waliobaki waunde team moja alafu muwalete tumalizane nao. Maana inakoelekea, hata Ufaransa tutampapasa alafu mseme na yeye ni kibonde!
Achana nao wafamaji hao. Baada ya ufaransa utawasikia wakisema ngoja wakutane na taifa stars ya kibu denis, wabongo hawaishiwagwi nongwa
 
Teh teh teh 😂😂😂 wale wengine wameshalala....
Saint Anne Numbisa Carleen...Messi kawaharibia Usiku..😂😂😂..

Na medali ya ubingwa atavaa...na tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inamsubiri..
Team Messi huwa mnanichosha hapo tu, hamuwezi sheherekea vitu vyenu kimya kimya mpaka msumbue watu waliolala zao..!!😔😔😔
Depal and Fohadi nina neno nanyi ndugu zangu...!!
 
Kwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?

Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde

Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili
Mpira hauchezwi mafichoni, ni mchezo wa hadharani kabisa.

Kuna muamuzi wa kati, lines men wawili, VAR pamoja na teknolojia kibao. Yani hata ule mpira unaopigwa, ndani yake kuna vifaa vya kuwasaidia waamuzi.

Porojo za kubebana achia ligi ya bongo, sio world cup!
 
Mabeko wa Croatia wazembe pale hata Mwamunyeto asinge zungushwa na chenga za Messi kiboya kama vile .Hii mechi Croatia wngetuachia Brazil Argentina tungemdhalilsha vibaya mno..
Hahaha yani brazil mlikaza matako kwa mume wenu Crooatia mkatoka 1:1 tena hilo moja mlifunga kwa mbiiiiiinde yani dakika za 110+ huko na mkasawazishiwa.
Halafu mnataka mkutane na aliyemfunga mme wenu 3 bila ndani ya dakk 90 tu?
 
Nipo mda sana nilishindwa kushika simu lile goal la tatu, vile Leo amefanya aseee nilikuwa na furaha ya ajabu yani machozi yalitoka kwa furaha🥹 nilipiga shangwe zito sana hapa nilipokuwa watu wa hapa wataenda kusimulia huko makwao.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat🤍[emoji171]

[emoji238]….
Vamossssss
Kuanzia leo utashangaa kila unayemgusa anajiita argentina
 
Nasubiri mechi ya kesho.Nitabiri mshindi 😂😂😂😂😂😂
 
Tumechoka!

Mara ngoja wakutane na uholanzi, mara ngoja wakutane na croatia, mara ngoja wakutane na Mbappe!

Tumechoka, kusanyeni wote waliobaki waunde team moja alafu muwalete tumalizane nao. Maana inakoelekea, hata Ufaransa tutampapasa alafu mseme na yeye ni kibonde!
Leta mkono tushindane
 
Back
Top Bottom