Mwendo ni ule ule hadi kombe lipatikaneYan ukiongea ivo haters wanakuangalia kwa jicho baya sana[emoji23].. Wamebakisha team moja ya kuhamia ya matumaini yao ya mwsh kwny final.. Asee wakishindwa na iyo sidhan kuna watu utawaona humu tena.
Anyway mwana Argentina mwenzangu mwendo ni ule ule hatujib hoja nyepes za wachambuz uchwara tutapambana mpk tubebe ndoo.
Vamoooooooooos Albiceleste [emoji1033]
Neno limekupeleka wapii tena?Hilo neno mbichii na nikatazama avatar yako limenitoa kwenye soka..😎😎
Most goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé
Most assists:
◉ 3 - Messi
◎ 3 - Kane
◎ 3 - Fernandes
◎ 3 - Griezmann
Most shots:
◉ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé
Most chances created:
◉ 18 - Messi
◎ 17 - Griezmann
Kuna muda huwa unanifanya nijiulize kwamba hizi comments zako ni matokeo ya chuki zako tu kifuani au umeamua kuchangamsha genge tu servers za JF zijae.
Kwenye hili kombe la dunia linaloendelea ...
Messi ana magoli manne (Argentina nzima ina magoli tisa so amechangia karibia nusu ya magoli ya timu nzima)
Messi ana xG (Expected goals) ya 3.79 na xA (Expected assists) ya 1.21 per match.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa shots on target, 22 kwa idadi.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli (chances created), akiwa ametengeneza chances 16 mpaka sasa.
Chances za magoli zinazotengenezwa na Messi per game ni 2.8. Hamna mchezaji mwenye rekodi hiyo mpaka sasa.
Definition yako ya mchezaji 'kurukaruka' ni ipi? Ebu tupatie your reasoning.
Kwenye vitu vibichi vizuriNeno limekupeleka wapii tena?
Kama maembee, mananasii n.kKwenye vitu vibichi vizuri
Kweli Messi bila penalty ni mwepesiMbape ni Ronaldo mpya! Na leo ndiyo ataanza rasmi kuvaa mikoba ya role model wake.
Na usisahau mpaka muda huu ana goli 5 kwenye haya mashindano! Na hakukuzipata kupitia penati kama Messi!
Mbappe ye kila mda "mzigo" wake upo imara. Iwe anashangilia kascore or not[emoji1787][emoji1787][emoji1787]#ifuknowuknow
Huyo messi bila penalty hamna kituItanibidi niwe mnafiki
Ila nakwambia Argentina kombe anabebaa
Kiwango walichoonyesha jana kimeaminisha dunia.
Yani Messi amerudi mbichiiiiii
Messi mzee wa penatHlf anatoka mtu alikotoka huko kashiba makande anaongea upuuz na anabishana kbs na kukaza mishipa.. Mtu huyu ww ukibishana nae ndo utaonekana mwehu.
Mtu yupo kwny kila stats ana perform hlf mtu analeta stry za vijiweni kwny kahawa kwl.
[emoji238][emoji1033]
Warabu wamfunge France mwenye kombe lake France ukipaki basi tunakua vibaya sana ukicheza counter attack tunakua kifo kibaya zaidi mana sis ndio master wa counter attack ukipishana na sis tunakufanya kitu ambacho hujawah shuhudia kweny maisha Yako yote tumekaa pale Morroco Ata tukiwaletea mademu wa France hamuwez kuwafunga mje mtufunge vidume
Huwa unaangalia mpira au huwa unasimuliwa?Huyo messi bila penalty hamna kitu
Sawa wazee wa penalties umesikikaNawaombea France wapite leo dhidi ya Morocco kwa sababu kuu mbili:
- Morocco wanacheza mpira wa kihuni unaofanana na wa Argentina. Morali yao ni kubwa sana, tukikutana fainali itakua mechi ngumu zaidi. Ufaransa wanacheza soft ball, na tayari kwa Argentina hii soft ball imeprove failure.
Morocco wancheza sana aerial balls, na wako na average height kubwa kuwazidi Argentina. Hilo linaweza kua tatizo kwa Albiceleste. Ila wafaransa wanategemea zaidi mbio, kitu ambacho sioni kikiwasaidia kwa Argentina. Unakimbia vipi na mpira wakati kila baada ya hatua tatu, wahuni wanatandika reli?
- Sababu ya pili, ni kwaajili ya haters wa Argentina. Ufaransa ndio kichaka chao cha mwisho kilichobakia. Walijifcha kwa Australia tukawakurupusha. Wakakimbilia kwa uholanzi, tukawatimua. Wakaingia kichaka cha Croatia, tukakitia moto. Sasa wamekimbilia France. Inabidi wafuzu hao France ili tumalizie kazi yetu.
Wakifuzu Morocco alafu tukawapiga, hawa wapuuzi wa humu watasema Morocco ni wadhaifu. Acha aje huyo mbabe wao ili wakose kisingizio!
NB: kama hautaki Argentina wafunge magoli ya penati, waambie wachezaji wa team lako wacheze kwa adabu na akili. Wakitumia miguvu bila akili, sisi tutapiga tu hizo penati hata tukipewa saba kwenye mechi moja.
Na kama unadhani kufunga kwa penati ni rahisi, muulize Mbappe kilichomkuta kwenye Euros. Waulize mabishoo wako wa Brazil, na umuulize Harry Kane!
Kama Nakadori mbichi mbichi 😎 😎Kama maembee, mananasii n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeangalia marudio ya hii game bado Croatia wameshindwa kusawazisha
Takwimu gani ulizoleta wew za kijinga hizo Yani mtu Kwa season 2022/2023 hajafika Goli 24 unakuja kumsifiasifia Messi alikua anauwezo wa kufunga 90 + Kwa mwaka mzima tena akiwa na penati chache sana wew unakuja kuleta madudu Yako apo eti amepeform kitu Gani alichoperform Messi uwezo wa kufunga,kuasist,kupiga faulo,speed umepungua sana Ata uwo uwezo wakupiga penati Messi alikua anauwezo wakupiga penati hata 10 mfululizo Bira kukosa ila kweny penati Tano Kuna uwezekano moja akakosa mwaka huu tayari kashakosa penati mbili hadi Sasa alikosa penati kweny mechi ya PSG na Real Madrid akikosa penati kweny mechi na Poland juzi apo msimu uliopita akiwa na PSG alikua na jumla ya Goli 12 Kwa msimu mzima akiwa PSG unakuja kumjaza apa ivi mtu kutoka kufunga Goli 50 kweny ligi Kwa msimu had kuja kufunga Goli 11 Kwa msimu kweny ligi ni kuperform huko mashabiki wa Messi sjui Huwa mnajikuta kinani VileHlf anatoka mtu alikotoka huko kashiba makande anaongea upuuz na anabishana kbs na kukaza mishipa.. Mtu huyu ww ukibishana nae ndo utaonekana mwehu.
Mtu yupo kwny kila stats ana perform hlf mtu analeta stry za vijiweni kwny kahawa kwl.
[emoji238][emoji1033]