Ndugu zetu wa Argentina sisi ni jeshi kubwaaaHali ilivyo huku buenos aires ArgentinaView attachment 2446482View attachment 2446483
Na hapa Tena kama hujaelewa basi ni zezeta ...Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Huyu ni mess mwenyewe Jana ....Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Yule Ostaz Benzema akiingia, akiyanani kale Kirikou kapo kujinyonga.Huku mbappe huku benzema sijui andunje atachomoka vipi
Kuna euro,copa america, na afcon inabidi ziachiwe nafasiWorld cup iwe after 2-3years bana. 4 years ni mingi kwakweli.
Hizo sawa lakin kuna "ndondo cup" nyingi hazina maana zitolewe tu ziachwe chache zenye maana ratiba itakaa sawa tuKuna euro,copa america, na afcon inabidi ziachiwe nafasi
Dah oya chali angu umepigwa na kitu kizito asee khaa nmecheka kisengeeeNa hapa Tena kama hujaelewa basi ni zezeta ...
According to official protocal [emoji3][emoji3][emoji91][emoji91]View attachment 2446488
Kama afconHizo sawa lakin kuna "ndondo cup" nyingi hazina maana zitolewe tu ziachwe chache zenye maana ratiba itakaa sawa tu
Big Clubs haziwezi zikakubaliana na hili jambo; Mchezaji kutoka kwenda kwenye international duties alafu wakati mwingine unarudi umeumia wakati watu wanakulipa mamilioni ya Pesa ni risky...World cup iwe after 2-3years bana. 4 years ni mingi kwakweli.
Mmmmh AFCON muhim banaKama afcon
Wenye akili timamu tumekuelewaMimi siwaelewi watu wanaosema FIFA imepanga Messi anyanyue kwapa WC.
Hivi kwa WC hii ya 2022, kweli mtu unathubutu kuongea upuuzi huu?
Mtanange umekuwa mkali kwa kila timu, zilizoshiriki tumeona maajabu ya underdog team zilivyofanya maajabu.
Tumeona zilizotegemewa kuingia fainali, zikiondoka kwa vilio.
Bado mtasema Messi anapendelewa?
So toka walivyoanza walikuwa wanapewa maelekezo?
Argentina mpaka kufika hapa ni jitihada jamani, kama ilivyo Morocco.
Mashindano yanawekwa katikati ya msimu huku ligi zinaendelea huoni ni ukuda huo?Mmmmh AFCON muhim bana
Owa site gani iyoo manNa hapa Tena kama hujaelewa basi ni zezeta ...
According to official protocal [emoji3][emoji3][emoji91][emoji91]View attachment 2446488
Labda shida iwe schedule bt tunatakiwa kuangalia ulazima wa hyo tournament kuwepo.Mashindano yanawekwa katikati ya msimu huku ligi zinaendelea huoni ni ukuda huo?
Kwamba ndondo . ..haya banaLabda shida iwe schedule bt tunatakiwa kuangalia ulazima wa hyo tournament kuwepo.
AFCON ni lazima na ni muhimu.
Mkimaliza ndondo cup zenyu za kila nchi lazma tujue kidume wa Africa ni nani.
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.
2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.
2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]
Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira View attachment 2446517
Ongezea na Most PenaltiesMost goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé
Most assists:
◉ 3 - Messi
◎ 3 - Kane
◎ 3 - Fernandes
◎ 3 - Griezmann
Most shots:
◉ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé
Most chances created:
◉ 18 - Messi
◎ 17 - Griezmann