Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Na hapa Tena kama hujaelewa basi ni zezeta ...

According to official protocal [emoji3][emoji3][emoji91][emoji91]
IMG-20221214-WA0046.jpg
 
Ulikuwa unafatilia mpira kwa livescore?
Huyu ni mess mwenyewe Jana ....

Lionel Messi: “Every player did very well, but if I have to choose I would give this [Man of the Match] award to @julianalvarezzz.He had an extraordinary game
 
World cup iwe after 2-3years bana. 4 years ni mingi kwakweli.
Big Clubs haziwezi zikakubaliana na hili jambo; Mchezaji kutoka kwenda kwenye international duties alafu wakati mwingine unarudi umeumia wakati watu wanakulipa mamilioni ya Pesa ni risky...

Ndio maana hata confederation cup haikufanikiwa sana (haikuwa na big clubs support)
 
Mimi siwaelewi watu wanaosema FIFA imepanga Messi anyanyue kwapa WC.
Hivi kwa WC hii ya 2022, kweli mtu unathubutu kuongea upuuzi huu?
Mtanange umekuwa mkali kwa kila timu, zilizoshiriki tumeona maajabu ya underdog team zilivyofanya maajabu.

Tumeona zilizotegemewa kuingia fainali, zikiondoka kwa vilio.
Bado mtasema Messi anapendelewa?
So toka walivyoanza walikuwa wanapewa maelekezo?
Argentina mpaka kufika hapa ni jitihada jamani, kama ilivyo Morocco.
Wenye akili timamu tumekuelewa
 
Mashindano yanawekwa katikati ya msimu huku ligi zinaendelea huoni ni ukuda huo?
Labda shida iwe schedule bt tunatakiwa kuangalia ulazima wa hyo tournament kuwepo.
AFCON ni lazima na ni muhimu.
Mkimaliza ndondo cup zenyu za kila nchi lazma tujue kidume wa Africa ni nani.
 
Labda shida iwe schedule bt tunatakiwa kuangalia ulazima wa hyo tournament kuwepo.
AFCON ni lazima na ni muhimu.
Mkimaliza ndondo cup zenyu za kila nchi lazma tujue kidume wa Africa ni nani.
Kwamba ndondo . ..haya bana
 
Si kila anayemkataa Andunje ni mshabiki wa CR 7.

Unawapangiaje Watu wote duniani wamshabikie huyo Andunje [emoji848]

Ninyi ndiyo huwa mnawaita Watu kuwa ni Waislamu wasiofungamana na sera za USA na EU kusapoti Ukraine kupambana na Russia kisa tu hawamkubali Zelensky (Ukraine), au kuwaita Watu mashoga wanaowakubali USA na EU kisa tu kumkataa (Putin) Russia [emoji16]

Watu tupo duniani zaidi ya B 8 kasoro M 200 afu unataka sote tumkubali Andunje, kweli itakuwa dunia ya Watu wenye akili, si itakuwa ni dunia ya Mazezeta tu [emoji848][emoji1732][emoji16]
 
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira
JamiiForums-201325086.jpg
 
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira View attachment 2446517
DCA9316F-0E7E-48FE-8A40-C78559E149CA.jpeg
 
Back
Top Bottom