Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ushindi ni wa Morocco na Waarabu tu

Nyie wengine mbona mnaitaja taja nchi yetu ya Morocco na sisi waarabu

Tulia leo tunavyomnyeshea ufaransa mvua ya magholi sisi waarabu
Wanajipendekeza kweli Morroco walishawakata wao wanapigana Kwa ajili ya warabu na wamorroco Leo France tunapiga Morroco jumapili tunapiga huyu tumbuli Messi ili kelele zipungue
 
Haya kazi kwenu kung'amua maana ya picha..
 

Attachments

  • IMG_6264.jpg
    110.5 KB · Views: 3
Usiwapeleke huko utaazisha ugovi na watu
 
Ngojea tuone Morocco leo ataendelea na ubora wale kwenye kukaba na mashambulizi ya kushtukiza maana mpa sasa wameruhusu goli moja.
 
Kuna waliofika kwa uwezo wa pernaties kutoka kwa VAR
Au siyo mkuu!!!
Lakini kumbuka kuwa wahenga walinena, "unapoenda kuomba mboga kwa jirani, nenda na yakwako iliyo chacha"...

Naheshimu mawazo yako, lakini ukweli utabakia kuwa uwezo ndiyo kila kitu tena ndani ya uwanja dk 90 au 120... na siyo kubishana au maneno maneno....

Kama umenielewa powa, kama hujanielewa utanielewa leo usiku baada ya game kuisha.


Usiponilelewa usiku, utanielewa Jumamosi au Jumapili jioni....

Narudia tena "mwenye uwezo ndani ya uwanja dk 90" ndiyo mwenye kushinda siku hiyo...

Leo usiku atashinda mwny uwezo vyovyote vile hata iwe kwa VAR kama ulivyosema, au matuta, jumaosi pia vile vile na jumapili....

Kwa hiyo kaa kwa kutulia tu mkuu.... kelele zote ruksa J2 mshindi akipatikana na yoyote anaweza kubeba, awe unaempenda au usiyempenda kaja uzuri ndiyo uko hapo tu....
 
Haya matakwimu kama yale ya copa america tu
 
Ila Mbappe anafanana na DIDA


Duniani wawili wawili by the way Mbappe baba yake ni from Cameroon na Mama Algeria...

By the way kocha wa Morocco nyumbani ni Paris..., Ni kama ilivyokuwa Senegal iliyoifunga France wale jamaa walikuwa wanajuana sana (Senegal karibia wote walipitia academy za ufaransa)
 

Clubs huwa zinalipwa na FIFA according to the number of players involved in the WC competition, nadhani Man City ndio wametoa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…