Tusubiri saa 6 kasoro robo baada ya dk 90.Ndivyo ulivyo fundishwa shuleni kwenu?
Haya maneno niliongea tangu mashindano yanaanza.Weka akiba ya maneno mkuu
Haya maneno tulishayazoea.., kwa spain mliongea, kwa Belgium mliongea, kwa Portugal mliongea..
Tunaendelea kuandaa makwapa yetu kwa ajili ya kunyanyua kombeWafaransa weusi kwa sasa roho zipo juu juu..[emoji23][emoji23]
Scars Tate Mkuu Saint Anne Victoire Carleen
United ya Ferguson
In terms of money Hawajapata na hawatopataFaida hawajapata hao....
Kwangu mimi natamani kuona Ufaransa/Morocco akichukua ubingwa. Ila siyo Argentina.Wafaransa weusi kwa sasa roho zipo juu juu..😂😂
Scars Tate Mkuu Saint Anne Victoire Carleen
United ya Ferguson
Teh teh teh 😂😂😂 naamini tatizo sio Argentina ila ni Messi.Kwangu mimi natamani kuona Ufaransa/Morocco akichukua ubingwa. Ila siyo Argentina.
Wakati huo waaargentina tukisubiri final
Kule upande mwengine rubani wa ureno ameshawashusha wachezaji kwenye klabu zao.
Ila kasoro mtu mmoja ndiye bado yupo rubani anamuuliza unaelekea team gani nikupeleke?
Siku ya NNE sasa wanazunguka tu angani.
Umebomolewa fasta tu halafu izo malighafi wazilete africa
Wakimbizi utawajua tu mkuu
Jamaa wanajitahidi kuzuia sana huku wakitegemea counter attack, hii mechi ikiisha dk 90 itapendeza Sana...5-4-1 leo haitafanya kazi mbele ya ufaransa
Haya maneno niliongea tangu mashindano yanaanza.
Japokua naheshimu football na matokeo yake.
Lakini sioni wa kumzuia France [emoji1229]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yao ni dembele Cross Giroud KambaDefensive approach! Waarabu bwana!!View attachment 2446916
Safi sana hii...Defensive approach! Waarabu bwana!!View attachment 2446916
sipendi hizi timu zinazopenda kupaki Basi5-4-1 leo haitafanya kazi mbele ya ufaransa
Wakipata goli tu refa amaliza mpira wengine tunakaa mbali.Defensive approach! Waarabu bwana!!View attachment 2446916