Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pro Ronaldo tunashabikia Ufaransa. Maana Maroc asingekuwa na uwezo wa kumfunga Argentina..

Ronaldo alilia, Messi naye atokwe kamasi.
Hahahahaha. Acha roho mbaya. Hili kombe limeandaliwa mahususi kwa ajili ya king Messiah. Hata fifa wanalijua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…