Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

France akishinda leo mniiite khadija maunk
giphy (3).gif
 
Pro Ronaldo tunashabikia Ufaransa. Maana Maroc asingekuwa na uwezo wa kumfunga Argentina..

Ronaldo alilia, Messi naye atokwe kamasi.
Hahahahaha. Acha roho mbaya. Hili kombe limeandaliwa mahususi kwa ajili ya king Messiah. Hata fifa wanalijua hili.
 
Back
Top Bottom